Ile ngoma iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kupitia msanii nguli wa bongo fleva ambae anafanya vizuri kwa sasa namzungumzia Ally Kasongo Ram jina la kisanii RAMLIFE imekuwa gumzo mtaani kutokana na kupokelewa vizuri na wadau wa burudani kupitia vyombo mbalimbali vya habari ngoma hiyo aliyoirekodi katika studio za Gofu Rec. zilizopo maeneo ya mwananyamala kwa makoma chini ya mtayarishaji mahiri Kaju inajulikana kwa jina la "Nadataawe"
ambapo mashabiki wengi wamempokea kwa taharuki msanii huyu sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuimba na kutunga mashairi yenye hisia ambayo yanapendwa na wadau wengi kwa sasa
Akizungumza na BongojotoLink jemedali huyo alitanabaisha kwamba hizi ni cheche tu za safari yake yenye moto mkubwa anawashukuru sana wote waliomsapoti na wanaomsapoti anachowahaidi ni zawadi ya burudani isiyosadikika.
![]() |
RAMLIFE |
![]() | ||||
RAMLIIFE |
![]() | |
Hii ni moja ya Snap shot ya video "NADATA NA WEWE" |
No comments:
Post a Comment